Rais Ruto akita kambi katika eneo la Eastleigh na Kamukunji

  • | Citizen TV
    4,584 views

    Rais William Ruto ameanza ziara yake ya wiki moja katika kaunti ya Nairobi hii leo, akikita kambi katika eneo bunge la Kamukunji alipopokelewa kwa shangwe mtaani Eastleigh kwa hatua ya kuondoa msasa wa vitambulisho.