Wanafunzi wa MMU wameandamana leo kulalamikia kifo cha mwenzao

  • | Citizen TV
    1,248 views

    Wanafunzi wa chuo chuo kikuu cha Multimedia huko Rongai walikabiliana na maofisa wa polisi wakti walipofanya maandamano wakilalamikia ukosefu wa usalama kufuatia kifo cha mwanafunzi mwenzao.