- 1,170 views- - - - - Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne katika hotuba yake bungeni alisema amepokea barua kutoka kwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, ikisema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo. #ukraine #marekani #mazungumzo #vita #russia VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Trump asema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo
- - 2025 SOYA Awards ››
- 19 Apr 2025 - The United States has been waving the ‘tariff cane’ to the world, with President Donald Trump wielding it and swirling it like a pendulum against any country that he feels must be taught a lesson. In Trump’s latest stings, China has been on the…
- 19 Apr 2025 - Canada's Prime Minister Mark Carney faced sustained attacks from his Conservative rival at an election debate Thursday, but the Liberal leader sought to focus attention on what he calls Canada's top threat, President Donald Trump.
- 19 Apr 2025 - KSA identified the object as Norad ID 61909/2024-205R, describing it as significant debris from a rocket body. Its mass remains unknown.
- 19 Apr 2025 - Football Kenya Federation (FKF) Premier League champions Gor Mahia will have a chance to close in on the leading pack when they take on Sofapaka in a crucial fixture at Dandora Stadium today. The record champions, who are sitting third on the 16-team…
- 19 Apr 2025 - Iran staged military parades on Friday to mark its annual Army Day celebrations, showcasing a wide array of its latest domestically built drones, missiles, tanks, and other hardware.
- 19 Apr 2025 - Top county officials summoned in waste firm deal
- 19 Apr 2025 - A woman is in custody after being found in possession of nearly 300 grams of cocaine, following a sting by a multi-agency security team targeting drug trafficking routes between Kenya’s Northern Frontier and the capital.
- 19 Apr 2025 - Idriss noted that the agency has observed a significant shift from development aid to investment-based financing, helping narrow the funding gap for well-prepared infrastructure projects.
- 19 Apr 2025 - After a 14-month hiatus, former Interior CS Fred Matiang'i, who left the country under a cloud of controversy after his home was raided by police, is back in the public sphere.
- 18 Apr 2025 - Citing the US-China trade conflict, Ford said Friday it has "adjusted" its exports to the country, where the US auto giant operates manufacturing jointly with local partners. "We have adjusted exports from the US to China in light of the current tariffs…