'Unajua serikali kutekeleza 'manifesto', agenda zake kwa Wakenya ni hela...'

  • | VOA Swahili
    51 views
    Wataalam wa maswala ya kiuchumi nao wanaonya ongezeko la ushuru na tozo linalozidi kuathiri kwa kiwango kikubwa mzunguko wa pesa katika shughuli za kiuchumi. Lakini serikali ya Kenya inasema nini? Ungana na mwandishi wa VOA, Nairobi, Kenya Zainab Said akikuletea taarifa kamili... ⁣ #uchumi #serikali #kenya #wananchi #ushuru #makato #voa #voaswahili #zainabsaid #nairobi