Rais asema ukumbi wa Bomas utapanuliwa

  • | KBC Video
    660 views

    Rais William Ruto ametangaza mipango ya kupanua ukumbi wa Bomas kuwa jengo kubwa la Mikutano ya Kimataifa katika muda wa wiki mbili zijazo. Rais ambaye aliongoza mkutano wa baraza la mawaziri leo alisema kituo hicho kitakachojengwa kwa muundo wa kisasa ni sehemu ya mpango wa serikali wa kukibadilisha kuwa kitovu cha mikutano cha viwango vya kimataifa. Pindi mradi huo utakapokamilika, kituo cha Bomas kitakuwa cha pili cha mikutano ya kimataifa nchini Kenya baada ya jumba la KICC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News