Wakulima Trans Nzoia wameanza shughuli za upanzi

  • | Citizen TV
    169 views

    Siku mbili baada ya mvua kubwa kunyesha katika Kaunti ya Trans Nzoia, ambayo hutambulika kama ghala la taifa, wakulima katika eneo hilo wameanza kupanda