Mtu mmoja ameuawa kwenye mzozo wa Kijiwetanga

  • | Citizen TV
    1,430 views

    Mtu mmoja ameuawa baada ya kupigwa risasi kwenye mzozo wa ardhi katika eneo la Kijiwetanga, Malindi, kaunti ya Kilifi