'Madai ya usawa wa kijinsia ni madai halali kwa mujibu wa ibara ya 12 ya Katiba yetu'

  • | VOA Swahili
    78 views
    Tanzania imeungana na mataifa mengine ulimwenguni Machi 8, 2025 kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani. Maadhimisho hayo kitaifa yalifanyika mkoani Arusha. Sikiliza ujumbe wa Rais kwa taifa na maoni ya wananchi kuhusu huduma mbalimbali kwa wananchi. Ripoti hii imeandaliwa na mwandishi wa VOA, Dar es Salaam, Tanzania, Amri Ramadhani, #sikuyawanawakeduniani #wanawake #arusha #tanzania #jamii #vijana #rais #samiasuluhuhassan #voa #voaswahili