Familia yalalamikia kucheleweshwa kwa uchunguzi wa kifo cha polisi kwenye msafara wa Rais

  • | Citizen TV
    5,273 views

    Inspekta Nicholas Aguk Oballa alifariki Februari 25 Alikuwa akishughulikia usalama wa Rais uwanjani JKIA Aligongwa na gari akikaribisha msafara wa rais JKIA