Biashara: Sekta ya kibinafsi kuchangia shilingi bilioni 600 kwa miradi ya unyunyuziaji maji mashamba

  • | KBC Video
    20 views

    Sekta ya kibnafsi inatarajiwa kuchangia shilingi bilioni 600 kwenye miradi ya unyunyuziaji maji mashamba na kuhakikisha ekari milioni moja zitakuwa zikinyunyuziwa maji miaka kumi zijazo . Hii ni kulingana na katibu katika idara ya unyunyuziaji maji mashamba , Ephantus Kimotho, ambaye alisema serikali inatayarisha stakabadhi za ushirikiano na sekta ya kibnafsi , kuhusu miondo-mbinu ya unyunyuziaji mashamba maji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive