BBC Eye: Nani anajaza Afrika Magharibi na vidonge haramu vya opioidi?

  • | BBC Swahili
    2,263 views
    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na opioid - Vidonge haramu, vya kulevya na hatari vinavyouzwa mitaani. - Lakini ni nani anayetengeneza vidonge hivi? Ni nani anayevifunga ili vionekane kama dawa? Na ni nani anayesafirisha Afrika kwa mzigo wa kontena? - Uchunguzi wa BBC Eye imefuatilia njia ya kusafirisha opioid India na uwafichua baadhi ya watu wanaonufaika kutokana na masaibu ya watu wengine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw