Afueni kwa hakimu Atambo huku mahakama yazuia afunguliwe mashtaka

  • | Citizen TV
    80 views

    Hakimu wa mahakama ya Thika Stella Atambo amepata afueni ya muda baada ya mahakama kuu kumuagiza mkurugenzi wa mashtaka ya umma kutomfungilia mashtaka. Agizo hilo limetolewa huku mahakama ikitathmini uhalali wa kesi dhidi ya hakimu huyo.