Israel yaishambulia Gaza licha ya mazungumzo ya kusitisha mapigano,katika Dira Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    615 views
    Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel huko Gaza limeripotiwa kuwaua takriban watu 13. Jeshi la Israel limesema lililenga kile ilichokiita eneo la kijeshi la Hamas sambamba na meli zake. Israel na Hamas wametofautiana kuhusu jinsi ya kupeleka mbele mpango wa kusitisha mapigano, tangu awamu ya kwanza ilipokamilika mwanzoni mwa mwezi huu.