Jinsi kilimo cha viazi kinaunganisha jamii eneo la Kuresoi

  • | Citizen TV
    547 views

    Kwa wengi, viazi ni chakula tu ambacho kinapendwa na wengi kwa aina tofauti ya vyakula. Hata hivyo, upanzi wa viazi umetumika kama kigezo cha kuweka amani ya kudumu na hata kupambana na mabadiliko ya hali ya anga miongoni mwa wakulima wa eneo la Kuresoi Kaskazini kaunti ya Nakuru. Agnes Oloo aliwatembelea wakulima hawa ambao wengi wao walikuwa waathiriwa wa ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007/2008 na kuandaa taarifa hii