Ruto: Nimechangia ujenzi wa makanisa tangu nikiwa mbunge

  • | KBC Video
    1,054 views

    Rais William Ruto ametetea michango yake ya ujenzi wa Makanisa akisema amekuwa akifanya michango hiyo tangu akiwa Mbunge. Rais aliyewahutubia waumini katika Kanisa la Africa Inland huko Jericho jijini Nairobi, alisema ujenzi wa makanisa hautaachwa nyuma huku akizingatia ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwa wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive