Idadi ya waliofariki kutokana na ugonjwa wa Kalaazar yafikia 20

  • | KBC Video
    56 views

    Idadi ya waliofariki kutokana na chamko la ugonjwa wa Kalaazar katika kaunti ya Wajir imefikia 20, wengi wao wakiwa watoto wa umri wa chini ya miaka mitano. Kaunti hiyo inakabiliwa na uhaba wa vifaa vya kupimia ugonjwa huo huku hospitali ya Wajir level 4 ikizidiwa na idadi kubwa ya wagonjwa kila siku, na kusababisha kubadilishwa kwa wodi nyingi kuwa vitengo vya kudhibiti ugonjwa huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive