Wakazi wa Kyeleni na Donyo Sabuk waandamana

  • | KBC Video
    108 views

    Wakazi kadhaa kutoka sehemu za Kyeleni na Donyo Sabuk kaunti ndogo ya Matungulu kaunti ya Machakos waliandamana leo kulalamikia kile walichotaka kuwa kuhangaishwa na serikali ya kaunti ya Machakos wakisema hakuna maendeleo yametekelezwa katika sehemu hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive