Vijana wavuruga mazishi ya Dennis Muthui ambaye anadaiwa kupigwa risasi na polisi Majengo

  • | KBC Video
    256 views

    Mamia ya vijana kutoka eneo la Majengo katika Kaunti ya Nairobi, hapo jana jioni walivuruga hafla ya mazishi ya Dennis Muthui ambaye anadaiwa kupigwa risasi na polisi na kusababisha maandamano huko Majengo wiki mbili zilizopita. Kwa taarifa hii na nyinginezo, huu hapa mkusanyiko wa habari za kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive