Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya haki za binadamu yaitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati machafuko Tanzania

  • | Citizen TV
    28,146 views
    Duration: 3:20
    Mashirika ya kutetea haki za binadaamu yanaitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati na kukomesha ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania. Mashirika hayo yamemkashifu rais Samia Suluhu kwa kutumia vyombo vya usalama kuwakandamiza waandamanaji wanaotetea haki zao kisheria. Kinara wa chama cha PLP Martha Karua anataka umoja wa Afrika AU, kuingilia kati na kukomesha vifo na utekaji nyara wa waandamanaji nchini humo.