Walimu wakuu wa Meru wakongamana kwa mafunzo ya CBC

  • | Citizen TV
    171 views

    Wizara ya Elimu imeanza mafunzo ya ufahamisho wa mfumo mpya wa Elimu ya CBC kwa walimu wa shule za Sekondari watakawapokea wanafunzi wa Sekondari ya juu kuanzia mwaka ujao