TSC yawafunza walimu elimu ya teknolojia Nakuru

  • | Citizen TV
    160 views

    Walimu 150 kutoka shule tofauti za umma, wanapokea mafunzo ya kidijitali kama njia moja ya kuwawezesha kukabiliana na changamoto za mtaala mpya wa CBC wanapofunza