Ukosefu wa ufadhili waathiri biashara changa

  • | KBC Video
    3 views

    Wenye biashara changa wamesema kuwa ukosefu wa ufadhili ndio kikwazo kikuu kwa ukuaji wa biashara hizo. Akiongea jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa shindano baina ya biashara changa, Caleb Maru kutoka kampuni ya teknolojia ya Kitsilano alisifia ubunifu na ujasiri wa waanzilishi wa kampuni za teknolojia humu nchini akikariri haja ya kubuni mikakati madhubuti ya kupata ufadhili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive