Uhaba Wa Damu Samburu: Wagonjwa hospitalini watatizika

  • | KBC Video
    30 views

    Wakazi wa kaunti ya Samburu wametakiwa kujitokeza kutoa damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa walio kwenye hatari ya kufariki kutokana na ukosefu wa damu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive