Hospitali za Samburu zapungukiwa na damu

  • | Citizen TV
    133 views

    Kaunti ya Samburu inakumbwa na uhaba wa damu wa painti mia tatu Kila mwezi,wakazi wakitakiwa kujitokeza na kukumbatia zoezi la kuchangisha damu ili kuokoa maisha ya mamia ya wakenya wanaohitaji damu. Hospitali za Samburu hupokea majeruhi haswa wa mtutu wa bunduki na akina mama wanapojifungua.