Takwimu zaonesha visa vya dhuluma za kijinsia ni vingi mno Kajiado

  • | Citizen TV
    119 views

    Huku dhuluma za kijinsia zikiripotiwa kila uchao , kaunti ya kajiado imeandikisha idadi ya juu zaidi ya dhuluma hizo. Kufuatia hali hii mkutano maalum wa kujadili jinsi ya kupunguza dhuluma katika jamii imeandaliwa huko Kajiado.