Wawakilishi wadi walumbana kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    718 views

    Mvutano umeibuka kwenye kikao cha maseneta kuhusu uwakilishi wa bunge la kaunti ya Nyamira, baada ya kubainika kuwa bunge hilo linaendeshwa na mabunge mawili ya kaunti. Wawakilishi wodi waliofika mbele ya kamati ya ugatuzi ya seneti waliweka bayana kuwa vikao viwili tofauti hufanyika na maamuzi mawili tofauti kufanywa