Waziri Murkomen anataka Justin Muturi akamatwe

  • | Citizen TV
    14,686 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen sasa anataka aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa umma aliyefutwa kazi Justin Muturi kukamatwa kwa kuendelea kushikilia stakabadhi muhimu za serikali. Akizungumza maeneo ya pwani hii leo, Waziri Murkomen amekemea kile ametaja kuwa unafiki wa Muturi kuhusu ufisadi serikali na hata visa vya utekaji nyara