Israel yaendelea kuishambulia Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    1,870 views
    Wizara ya afya ya Gaza inayosimamiwa na Hamas imesema watu hamsini na wanane wameuawa katika mashambulizi yaliyotekelezwa na vikosi vya Israel. Wapalestina kumi na tisa - baadhi yao wakiwa watoto - waliuwawa katika mashambulizi hayo ya usiku katika maeneo ya kati na kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.