Paa la Klabu lililoporomoka na kuua 98 Jamhuri ya Dominika

  • | BBC Swahili
    6,337 views
    Picha za ndege zisizo na rubani zinaonyesha paa lililoporomoka na kuua 98 katika Klabu ya usiku Jamhuri ya Dominika Takriban watu 98 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 150 kujeruhiwa baada ya paa kuporomoka katika klabu ya usiku katika mji mkuu wa Jamhuri ya Dominika Santo Domingo. Kisa hicho kilitokea usiku wa Jumanne kwenye tamasha la mwimbaji maarufu wa merengue Rubby Pérez ambaye ni miongoni mwa waliouawa katika tukio hilo. #bbcswahili #dominika #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw