Ipi hatma ya DRC baada ya mkutano wa serikali na M23 kuairishwa? katika ya Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,884 views
    Mkutano wa kuzungumiza juhudi za kuleta amani kati ya serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kundi la waasi la M23 uliopangiwa kufanyika nchini Qatar, umeairishwa. Hadi sasa hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa. Aidha hali hiyo imesababisha taharuki huku wengi wakihofia kwamba usalama wa Ukanda wa Afrika ya mashariki na Maziwa Makuu uko hatarini.