Jibini ya Pule: Bidhaa inayotokana na maziwa adimu ya punda na ya bei ghali

  • | BBC Swahili
    3,483 views
    Punda hawa nchini Serbia huzalisha moja ya jibini adimu na ya bei ghali zaidi duniani. Jibini la Pule, iliyotengenezwa kwa maziwa ya punda, huuzwa kwa bei ya kushangaza ya euro 1,200 kwa kilo. #bbcswahili #serbia #maziwa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw