Shule ya msingi ya Trans Nzoia ina majengo makuu kuu

  • | Citizen TV
    842 views

    Licha ya Shule ya Msingi ya Trans Nzoia kuanzisha harakati za elimu katika Kaunti ya Trans Nzoia mwaka wa 1926, waliosomea hapa miaka sabini iliyopita wameghadhabishwa na majengo ya shule ambayo bado yanatumika miaka tisini na nane baadaye, hali inayohatarisha maisha ya wanafunzi