"Watu wengi walidhani nimefuata mali, sikuwaza kabisa kuhusu mali'

  • | BBC Swahili
    2,184 views
    Imekua ni jambo la kawaida Mwanmke kuolewa na Mwanaume aliyemzidi Umri.Lakini ni kama hili halikubaliki kwa jamii nyingi katika maeneo mengi Duniani Tafiti zinaonesha kwamba Asilimia 65 ya wanawake walioolewa kuanzia miaka 50 wameolewa na wanaume ambao wamezidi umri na ni asilimia 15 pekee wenye wenza ambao wanawazidi umri walau kwa Mwaka Mmoja Doreen Kimbi kutoka Tanzania mwaka 2022 alifunga ndoa na Mume wake Agustino Lwatonga Mrema aliyekua Mwanasiasa Mkongwe Nchini Tanzania Ndoa hii ilizua Gumzo hasa mitandaoni kwani Kiongozi huyo alikua amemzidi miaka 40,Hili liliwezekanaje kwake? Nini hasa kilichomvutia kwa Mzee huyo aliyekua mume wake? Amezungumza na Mwandishi wa BBC Scolar Kisanga Katika Waridi wa BBC - - #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw