Je unajua siri iliyo nyuma ya emojis kwenye mitandao ya kijamii?

  • | BBC Swahili
    2,608 views
    Mfululizo wa filamu ya Netflix 'Adolescence’ iliweka wazi Kivipi maana ya baadhi ya Emojis zilizopo kwenye simu yako zinazotumika kwenye mitandao ya kijamii. @frankmazvura anaelezea maana zake kwa kina #bbcswahili #emoji #filamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw