Wanaotaka kujiunga na vyama vya ushirika wahimizwa watahadhari

  • | KBC Video
    21 views

    Vyama vya ushirika vimesifiwa kama hatua ya maendeleo, kutokana na manufaa yao kwa wanachama haswa kwa wanaopata mapato ya chini. Hata hivyo wanachama wamehimizwa kufanya uchunguzi kabla ya kujiunga na vyama hivyo ili kuepukana na utapeli.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive