Wakazi wa Kinango na Lungalunga Sasa Wajitegemea kwa Chakula

  • | K24 Video
    267 views

    Kwa miaka mingi, zaidi ya wakazi 100,000 wa Kinango na Lungalunga wamekuwa wakitegemea msaada wa chakula kutoka kwa serikali na wafadhili kutokana na ukame unaolikumba eneo hilo. Hata hivyo, hali imebadilika tangu kuanzishwa kwa ugatuzi, ambapo wenyeji sasa wanazalisha chakula cha kutosha na kujitegemea.