Siku ya kimataifa ya watoto wanaoranda mitaani yaadhimishwa

  • | KBC Video
    24 views

    Mara nyingi ubinadamu unaweza kupata mafunzo kuhusu ustahimilivu kutoka kwa mazingira usiyoyatarajia. Katika kitongoji duni cha Mathare, jijini Nairobi, watoto waliotoroka makwao kwa sababu moja au nyingine na kuchagua kukabiliana na changamoto za kila siku ambazo wanakumbana nazo mitaani, Leo wameelezea matumaini na hata, wakikubali majina yao kuashiria ustahimilivu na ndoto zilizotofautiana tu kufuatia hali zao za sasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive