Migodi ya sarafu ya kidijitali Kuletea Umeme Vijijini Afrika

  • | BBC Swahili
    2,182 views
    Kampuni ya sarafu ya kidijitali inapanga kusambaza mitambo midogo ya kuzalisha umeme katika vijiji vya mbali Afrika ili kuleta umeme na kuchakata mfumo wa Bitcoin. Tayari wamefanikiwa katika miradi sita ya nishati mbadala katika nchi tatu tofauti. Mradi huu kandokando ya mto Zambezi umeonesha manufaa ya mfumo wa Bitcoin unaotumia nishati nyingi. Laillah Mohammed anaelezea #bbcswahili #zambia #bitcoin Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw