Washkiwa watano wanaodaiwa kuwaibia wafanyabiashara Kakamega wakamatwa

  • | NTV Video
    725 views

    Washukiwa watano wanaodaiwa kushambulia na kuwaibia wafanyabiashara katika soko la Khayega eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega wametiwa mbaroni.

    Maafisa wapata simu 20 zilizoibwa, visu na shillingi 100,000.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya