'Chadema hawatashiriki uchaguzi huu hadi mwaka 2030.'

  • | BBC Swahili
    8,341 views
    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi - INEC, Ramadhan Kailima amesema Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema hawatashiriki uchaguzi huu hadi mwaka 2030. Chadema ni kati ya vyama 19 vya siasa vilivyosajiliwa Tanzania, Na ndicho chama pekee ambacho hakijasaini kanuni za uchaguzi, jambo ambalo linawanyima fursa kisheria kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2025. 🎥: Frank Mavura - #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw