Serikali yakanusha kupata mbolea ya bure kutoka Urusi

  • | Citizen TV
    373 views

    Katibu katika wizara ya kilimo Dkt. paul rono amekanusha kuwa serikali ilipokea mbolea ya bure kutoka kwa serikali ya urusi na kisha kuwauzia wakulima