Kaunti ya kajiado imepungukiwa na vituo vya magonjwa ya mifupa

  • | Citizen TV
    28 views

    Ukosefu wa vituo vya kutibu magonjwa ya mifupa bado ni changamoto kuu katika kaunti ya kajiado huku wagonjwa wakilazimika kutafuta huduma hizo katika kuanti zingine. aidha wagonjwa wa mifupa wanalalamikia gharama kubw aya matibabu inayowafanya kukosa kutafuta huduma. na kama anavyoarifu Robert masai, wakazi wa Kajiado walifaidika na kambi ya matibabu ya bila malipo.