Mipango ya kumpokea aliyekuwa waziri Fred Matiang'i humu nchini

  • | Citizen TV
    4,533 views

    Mpango wa kumkaribisha aliyekuwa waziri wa Usalama wa ndani Fred Matiang'i unapoendelea kushika kasi, vuguvugu la vijana na kina mama kutoka maeneo bunge ya Kisii na Nyamira sasa wakionya dhidi ya mpango wa kuhusisha Matiang'i na kesi kwa nia ya kuhujumu azma yake ya kuwanaia urais.