Kumekuwa na ongezeko la uvamizi na uhalifu unaotekelezwa na magenge Mombasa

  • | Citizen TV
    216 views

    Vitengo vya usalama na viongozi wa vijana kaunti ya Mombasa wamewahimiza wahudumu wa boda boda na wafanya biashara kushirikiana na polisi ili kukabiliana na mchipuko wa uhalifu ya Magenge ya vijana