Serikali ya Kaunti ya Turkana yatangaza mikakati ya kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu

  • | Citizen TV
    84 views

    Serikali ya Kaunti ya Turkana imeanza kutoa hamasisho kuhusu ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo ya Turkana Magharibi ikiwemo kambi ya wakimbizi ya Kakuma