Sera ya utawala wa vijiji yapigiwa upatu

  • | KBC Video
    58 views

    Wakazi wa Pwani wamefurahia hatua ya wizara ya usalama wa taifa ya kuanzisha rasimu ya sera ya kitaifa ya utawala wa vijiji ambayo inalenga kuimarisha utoaji wa huduma na kuimarisha utawala vijijini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive