Washikadau mbalimbali Busia waandaa mbio za kilomita 15

  • | Citizen TV
    85 views

    . Washikadau mbalimbali katika Kaunti ya Busia waliandaa mbio za masafa marefu za kilomita 15 kutoka Kenya hadi nchi jirani ya Uganda, na kushirikisha raia wa mataifa haya mawili kwa nia ya kukuza uhusiano mwema baina ya wenyeji wa nchi hizi jirani