Wakulima wanataka mbolea isambazwe mashinani

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakulima katika kaunti ya Bungoma wanaitaka wizara ya Kilimo kugatua usambazaji wa mbolea ya ruzuku ili isafirishwe hadi maeneo ya mashinani.