Kutoweka kwa Hesborn Ochoki

  • | Citizen TV
    538 views

    Familia moja iinahangaika huko kisii baada ya mwana wao kutoweka kwa miezi saba sasa. jijini Nairobi.Kwa mujibu wa familia hiyo, Hesborn Ochoki aliyekuwa mfanyikazi wa G4S eneo la Cabanas , jijini Nairobi, alipotea ghafla huku uchunguzi ukionyesha kwamba simu yake ilizimwa eneo la Kware. Chrispine Otieno alitembelea familia hiyo nyumbani na kuandaa taarifa ifuatayo.