Washindi wa michezo ya kuigiza na filamu wanamtumbuiza Rais Ruto katika ikulu ya Nakuru

  • | Citizen TV
    874 views

    Washindi wa maonyesho ya kitaifa ya michezo ya kuigiza na filamu yaliyokamilika jumanne wanamtumbuiza rais william ruto kwenye ikulu ndogo ya nakuru.wanafunzi elfu thelathini na watano kutoka shule elfu nne kote nchini walishiriki kwenye maonyesho hayo ya sitini na tatu. Duru zinadokeza mwaliko kwa shule ya wasichana ya butere iliyokabiliwa na utete kuhusiana na tamthilia yake ya Echoes of War. Hivi sasa tunaungana naye Maryanne Nyambura kwa yanayojiri.